This new song MAUZAUZA features Taarab legend Bi. Khadija Kopa and its produced by Mocco Genius.
In addition, She is also the daughter of celebrated taarab sensation Khadija Kopa. Zuchu was born in the 90’s and is said to be in her early 20’s.
QUOTABLE LYRICS
Ooh leo unikome mwenye kiranga
(Mwenye kiranga)
Hujanijua vizuri hili timbwili la vanga
(Mwenye kiranga)
Ohh leo mbona umeyabananga
(Mwenye kiranga)
Me maskini jeuri, sitegemei madanga
(Mwenye kiranga)
Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushindwa kwenu
Walimwengu tutakufunza
Mauzauza we mwana mauzauza
Si wamekushidwa kwenu
Walimwengu tutakufunza
